Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI Ugonjwa huu husababishwa na bakteria wajulikanao kama Bartonella henselae, ambao mara nyingi huenezwa na paka, lakini hata mbwa anaweza kueneza. Ni ugonjwa ambao huambatana na dalili kama kuvimba sehemu iliojeruhiwa na kutokea kwa tambazi,… Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI: Dawa hizi husaidia zaidi katika kupunguza maumivu. lakini ikumbukwe maumivu sio ugonjwa bali ni dalili, kupungua kwake kunategemea na matibabu ya chanzo cha maumivu. Kuna aina mbili za dawa za maumivu, (1) Dawa zenye… Continue Reading…

Magonjwa ya Ngozi

UTANGULIZI: Vibalango-Mapunye ni tatizo la ngozi linalowakumba watoto zaidi ikilinganishwa na watu wazima. Tatizo hili linaweza kuwa sehemu moja au kutawanyika mwili mzima. Pia nywele zinaweza kukatika. Hali ya kuwasha inaweza isiwepo, homa inaweza kutokea… Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI: Wanawake wengi, mzunguko wa hedhi ni kati ya siku 21 hadi 35, na kuna wengine hufika siku 40. Hedhi kwa kawaida huchukua siku tano, na makadilio ya kiwango cha damu kupotea ni 40 mL3…. Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI Kama dawa inaweza kumfikia mtoto kupitia tumbo la uzazi, basi inaweza kumfikia mtoto kupitia maziwa. Hii inamaanisha kuwa kiwango kidogo cha dawa anayotumia mama anaenyonyesha kinaweza kumfikia mtoto. Katika namna mbali mbali hili sio… Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI: Pumu (asthma) hutokea mara baada ya koo la hewa kubanwa au kupungua upana, hali hii huambatana na uzalishaji wa kamasi na mkusanyiko wa maji maji mengi. Karibia 5% ya vijana na 10% ya watoto… Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI: Favipiravir iligunduliwa na Kampuni ya Toyama Chemical Co., Ltd ya Japan, favipiravir ni inafanana na kemikali ya pyrazine ambapo ilikuwa ikitumika katika matibabu ya mafua yatokanayo na virusi vya Influenza. Dawa hii huzuia ukuaji… Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGUKIZI: Remdesivir, au GS-5734, ni dawa ambayo hufanana na adenosine triphosphate, kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2016 iliweza kutambulika kutumika katika matibabu ya Ebola. Mnamo mwaka 2017, ufanyaji kazi wake uliweza kufahamika kuathiri familia… Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI Njia mojawapo ya kuhakikisha au kudhibiti matibabu yako kwa usahihi ni kutambua namna dawa yako husika inavyopaswa kutumiwa je, utumie dawa pasipo chakula? Pamoja na chakula? kwa muda upi? ichanganywe na kitu gani? Maelezo… Continue Reading…

Dawa na Virutubishi

UTANGULIZI Magonjwa ya sikio la nje na kati ni moja ya magonjwa ambayo hutibiwa zaidi kwa kutumia dawa mbali mbali. Aina ya matibabu ya dawa hutolewa kulingana na chanzo cha tatizo na sehemu ya tatizo…. Continue Reading…